April 6, 2017Cristiano Ronaldo ni kati ya wachezaji wenye kasi sana hasa anapokuwa akiufukuza mpira au anatoka eneo moja kwenda jingine, unaweza kusema “kusprint”.

Imejulikana anayemsaidia nyota huyo wa Madrid kuwa tishio katika kasi ni mwanariadha mstaafu wa Uingereza, Samantha Clayton.

Samantha aliwahi kuwa bingwa katika Michezo wa Olimpiki akishinda katika michezo iliyofanyika nchini Ureno mwaka 2000.


Mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 37, amekuwa akifanya mazoezi na Ronaldo.

Imeelezwa, Ronaldo amekuwa akifanya naye mazoezi na kupata mafunzo namna ya kukimbia kwa kasi inapotakiwa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV