April 12, 2017



Kikosi kizima cha KRC Genk tayari kimetua mjini Vigo nchini Hispania kwa ajili ya mechi ya Europa Cup dhidi ya wenyeji wake, Celta Vigo.


Mtanzania Mbwana Samatta ndiye atakayeongoza mashambulizi ya timu hiyo ya Ubelgiji, timu hizo zitakapokutana leo usiku.


Harua ya robo fainali ni ngumu zaidi na Celta Vigo ni moja ya timu bora za Hispania lakini Genk wanaonekana wako tayari na wamejiandaa kweli.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic