April 7, 2017


Kikosi cha MC Alger, kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.

Waalgeria hao, kesho wana kazi ya kuwavaa Yanga katika mechi ikayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Yanga wanataka kushinda mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Waarabu hao ambao kama watafanikiwa kupata sare, kwako ni jambo bora.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV