April 7, 2017
Baada ya kujichimbia kwenye hosteli za Maaskofu eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam. Sasa Yanga wamehamia katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Yanga wamehamishia kambi yao katika hoteli iitwayo Tiffany katika eneo la Mnazi Mmoja, katikati ya Posta na Kariakoo.

Yote ni maandalizi kwa ajili ya mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya MC Alger ya Algeria ikayopigwa Kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa.


Yanga ndiyo wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa katika ngazi ya klabu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV