May 7, 2017


Real Madrid wameonyesha kuwa wamenuia kubeba ubingwa wa La Liga baada ya kuitwanga Gnada kwa mabao 4-0.

Madrid ikiwa ugenini imeshinda kwa mabao mengi licha ya Granada kuwa na kipa bora Guiellermo Ochoa ambaye anaamini ni mmoja wa makipa boara kabisa.


Alvaro Morata na James Rodriguez kila mmoja alifunga mabao mawili na kuiwezesha Madrid kuendelea kutamba zaidi.

Pamoja na ushindi wa Madrid, nahodha wa zamani wa Arsenal, Tony Adams ambaye ni kocha wa timu hiyo anaendelea kuwa katika wakati mgumu.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV