KOCHA WA MAURICIO POCHETTINO (KULIA) AKIONYESHA KUSIKITISHWA NA JAMBO WAKATI KIKOSI CHAKE KIKIPAMBANA KUSAWAZISHA DHIDI YA WEST HAM UNITED. MECHI IMEISHA KWA WEST HAM WALIOKUWA NYUMBANI WAMESHINDA 1-0 NA KUPUNGUZA KASI YA SPURS KUTWAA UBINGWA HASA KAMA CHELSEA WATASHINDA MECHI IJAYO. |
0 COMMENTS:
Post a Comment