June 5, 2017

Cavaliers sasa ina wakati mgumu baada ya kupoteza mchezo wa pili mfululizo wa fainali za NBA.

Golden State Warriors imeshinda kwa pointi 132-113 ikiwa nyumbani hivyo kuandika ushindi wa pili mfululizo.

Stephen Curry na Kevin Durant waliiongoza States kuwa moto na kuizidi kwa kiasi kikubwa Cavs ambayo inaonekana kumtegemea LeBron James.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV