June 5, 2017


Baada ya kupoteza kwa kufungwa kwa mabao 4-1 dhidi ya Real Madrid katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Juventus wamerejea nyumbani Italia.

Pamoja na kuukosa ubingwa, mashabiki walionekana kuwapongeza wakiwapungia mkono kuonyesha bado wanawapa heshima kubwa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV