June 29, 2017
Kesi inayowakabiri Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Katibu, Mwesigwa Celestine inaendelea kuungura katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Kesi hiyo ndiyo inasikilizwa sasa na baadaye tutawapa kinachoendelea.

Awali, ilianza kusikilizwa kesi inayowakabiri Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’.

Wote wanne walifikishwa leo mahakamani hapo baada ya kuhojiwa kwa kina na Maofisa wa Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), jana.


Baada ya muda tutawaletea kinachoendelea.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV