June 29, 2017Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wamekabiliwa na mashitaka matano ambayo hayana dhamana.

Hivyo kesi yao sasa itasikilizwa tena Julai 13, hivyo viongozi hao wawili wa Simba wanapelekwa rumane hadi siku hiyo.


Wawili hao walifikishwa leo mahakamani hapo baada ya kuhojiwa kwa kina na Maofisa wa Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), jana.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV