June 9, 2017


Straika wa Real Madrid, Alvaro Morata ameamua kujirusha na mpenzi wake Alice Campello.

Morata ameamua kusherekea ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambao wameupata kwa mara ya pili mfululizo.

Madrid iliitwanga Juventus kwa mabao 4-1 katika fainali na kubeba ubingwa wa 12.


Staa huyo aliyefunga mabao 22 katika mechi 47 ameonekana anajirusha na mpenzi wake huko Ibisa nchini Hispania.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV