June 8, 2017


Beki wa kati au "kitasa", Yusuf Mpili aliyekuwa Toto African ya Mwanza amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Simba.


Mpili ameingia kwenye kundi la wachezaji wapya wa Simba na ataungana na kikosi cha Simba kuimarisha safu ya ulinzi wa kati.

Beki huyo amesaini mkataba huo leo mbele ya Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu'.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic