Taifa Stars imetoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika.
Mechi hiyo dhidi ya Lesotho imeisha kwa sare ya bao 1-1 na kuwapa advantage wageni hao waliosawazisha.
Nahodha Mbwana Samatta alianza uifungia Stars katika dakika ya 28 lakini Thapelo Tale akaisawazishia Lesotho.
Mechi hiyo ilikuwa ni ya kundi L ambalo timu nyingine ni Uganda na Cape Verde.
0 COMMENTS:
Post a Comment