PICHA ZA ACTION NAMNA TAIFA STARS, ILIVYOAMBULIA SARE YA 1-1 IKIWA NYUMBANI DHIDI YA LESOTHO Taifa Stars imetoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika. Mechi hiyo imepigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment