June 1, 2017


Upendo mzuri ni wakati wa matatizo na ndiyo walichokionyesha mashabiki, wanachama na viongozi wa Simba wameungana kuuaga mwili wa shabiki Shose Mshaluwa Fidelis aliyefariki katika ajali ya gari alilokuwemo nahodha wa Simba, Jonas Mkude.

Lakini mashabiki wa timu nyingine, wakiwemo wa Yanga wameonyesha upendo kwa kujitokeza kwa wingi na kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Shose.
Pia rafiki zake wanaounda kundi la Millenium la Sinza jijini Dar es Salaam nao walijitokeza kwa wingi kumuanga eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV