July 16, 2017


Kikosi cha Azam FC kitasafiri kwenda mjini Mbeya kwa ajili ya mechi ya kirafiki.

Azam FC imealikwa na Mbeya City mara baada ya kurejea kutoka nchini Rwanda.

Lengo la Azam FC ni kucheza mechi za kirafiki dhidi ya Mbeya City kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.


Bosi wa Mbeya City, Emmanuel Kimbe amesema anaamini mechi za kirafiki na timu imara kama Azam FC zitasaidia kuwajenga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV