July 18, 2017


Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesisitiza kikosi chake kitafanya vizuri msimu ujao licha ya kutokuwa na usajili wa mbwembwe.

Bwire amesema Shooting hawafanyi mambo kutaka kujionyesha badala yake ni mipango sahihi.

“Tumekuwa tukifanya mambo yetu kwa kufuata mpangilio sahihi kama inavyotakiwa. Hivyo kila kitu kitakwenda kama tulivyopanga na tutawashangaza wengi,” alisema.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV