July 2, 2017


 Bondia wa Australia, Jeff Horn kwa kubeba ubingwa wa WBO uzito wa welter akimtwanga gwiji Manny Pacquiao.

Pacquiao amepoteza pambano hilo la raundi 12 kwa pointi 117-111, 115-113, 115-113 .

Kumekuwa na mjadala katika uamuzi huo kwa madai Pacquiao alifikisha ngumi nyingi zaidi. 

Lakini mwisho Horn ambaye alionekana yuko fiti hadi mwisho, ameibuka na ushindi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV