August 2, 2017


Ile ishu ya Neymar dos Santos kutua PSG inaweza ikawa imekaribia kabisaaa.

Maana tayari ameaga na klabu ya Barcelona imekubali aondoke.

Taarifa zinaeleza, PSG iko tayari kuvunja rekodi kwa kutoa pauni million 198 kumnasa Neymar.

Leo alikwenda mazoezini na kukaa kwa dakika 43 kabla ya kuondoka.

Taarifa za ndani zinaeleza Barcelona imekubali aondoke na kujiunga na PSG.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV