August 12, 2017


Beki tegemeo wa kulia wa Everton aliyeikosa safari ya Tanzania baada ya kuvunjika mguu amerejea mazoezini.

Seamus Coleman ameanza mazoezi baada ya kupona akijifua ili kuiongeza nguvu katika kikosi cha Everton katika Ligi Kuu England na michuano mingine.

Coleman alivunjika mguu mara mvili wakati akiitumikia timu yake ya taifa ya Jamhuri ya Ireland katika mechi dhidi ya Wales iliyoisha kwa sare ya 0-0.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 23, ameanza kujifua kwa nguvu ili kuisaidia Everton ambayo inadhaminiwa na SportPesa inayozidhamini klabu za Yanga, Simba na Singida United kwa hapa nchini.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic