Mashabiki wa Yanga na Simba wameanza mjadala mrefu kuhusiana na Haruna Niyonzima.
Mara baada ya Niyonzima kuonekana akiwa na jezi nyekundu na nyeupe, mjadala huo ukaanza huku wengi wakionyesha kuwa mashabiki wa Yanga, wakitoa maneno makali.
Mashabiki wa Simba walionekana kuwazodoa wale wa Yanga ambao walionekana wazi wa hasira kutokana na Niyonzima kuvaa jezi hiyo mpya.
ZILIZOSOMWA SANA
-
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
-
AKIWA NA RAIS WA MADRID, PEREZ Cristiano Ronaldo anaendelea kuwa mfalme wa Real Madrid bila ya kujali kuna ugeni wa Gareth Bale...
-
WACHEZAJI WA STARS WAKIWA KWENYE UWANJA WA NDEGE WA ATATURK NCHINI UTURUKI Na Saleh Ally, Istanbul Kikosi kizima cha Taifa Stars kim...
-
IKIWA Simba watakuwa kwenye mwendo huu ndani ya msimu wa 2021/22 kengele ya hatari inawaka kwenye kichwa cha Kocha Mkuu, Didier Gomes kwa...
-
BONYEZA HAPA ===> SALEH JEMBE SPORTS Kwa wasomaji wa Blog yetu pendwa ya michezo hakikisha una nifollow INSTAGRAM kwa kubonyeza ...
-
Wachezaji wapya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Gadiel Michael watakutana na zali la kupelekwa katika Klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika...
-
GEORGE Lwandamina, Kocha Mkuu wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ...
-
Ingawa Arsenal ina uhakika wa asilimia 91 hadi sasa kumnasa Danny Welbeck kutoka Man United lakini kuna mjadala umezuka. La...
-
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
-
Baada ya mapumziko wiki mbili, wikiendi hii tunarejea viwanjani katika muendelezo wa Ligi mbalimbali barani ulaya. Ligue 1, EPL na Serie...