Simba imeshinda kwa mikwaju 5-4 ya penalti dhidi ya Yanga na kubeba Ngao ya Jamii.
Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, imeisha kwa sare ya bila bao ndani ya dakika 90.
Ilikuwa mechi ya vuta nikuvute, Simba wakitawala zaidi kipindi cha kwanza na kipindi cha pili mwanzoni lakini mwishoni, Yanga wakaonekana kuamka na kuwapa wakati mgumu watani wao.
Angalia picha za Action.
0 COMMENTS:
Post a Comment