August 3, 2017



Wladimir Klitschko ametangaza kustaafu mchezo wa ngumi ikiwa ni miezi michache baada ya kushindwa KO na bondia Anthony Joshua katika pambano la uzito wa juu.


Raia huyo wa Ukraine amestaafu akiwa na umri wa miaka 41 ikiwa ni miaka 21 katika mchezo wa ngumi za kulipwa.

Alianza ngumi za kulipwa: 1996
Ameshinda Mikanda ya Uzito wa Juu inayotambuliwa: IBF, IBO, WBA, WBO  
Kashinda: 64 
Kapoteza: 5 
Sare: 0 
Kapigana Raundi: 369
Urefu: 6ft 6ins.
Urefu wa Mkono: 206cm
Mechi yake iliyoingiza watu wengi zaidi: 90,000


Kastaafu akiwa na miaka: 41 
Muda mrefu aliocheza bila ya kupoteza: Miaka 11 Kati ya aliposhinda dhidi ya Lamon Brewster mwaka 2004 hadi alipopoteza dhidi ya Tyson Fury, mwaka 2015.
Mapambano ya uzito wa juu ya ubingwa wa dunia: 29
Ubingwa wa Olimpiki: 1, katika michezo ya 1996 mjini Atlanta.
Baadaye aliiuza madali yake kwa dola milioni 1 na kuchangia katika Klitschko Foundation, kusaidia watu wenye matatizo. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic