August 9, 2017


Akiwa hata hajafikisha miaka miwili, Kocha Mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane ameingia kwenye rekodi ya makombe.

Zidane sasa anashika nafasi ya nne baada ya kushinda makombe sita.

Juzi, Madrid imeiangusha Man United katika mechi ya Uefa Super Cup likiwa ni kombe la Zidane.

Tayari amebeba makombe mawili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mawili ya Uefa Super Cups, LaLiga moja na moja la Kombe la Dunia kwa klabu.

Hadi sasa, anazidiwa kombe moja tu Vicente del Bosque, kocha aliyeng’ara kwa muda mrefu na Madrid.


 Miguel Munoz ni kati ya makocha waliofanya vizuri wa Madrid akiwa na makombe lakini Arrigo Sacchi katika miaka ya 1990.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV