August 23, 2017


Pale ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, watani wa jadi Yanga na Simba wanakutana katika mechi ya Ngao ya Jamii.

Kawaida, vituko huwa havikosi na hali nje ya uwanja inaonekana hivi, askari wakiwa wamewakamata baadhi ya walioonekana walitaka kufanya ujanja.

Ulinzi ni mkali kwenye uwanja huo na maaskari wanaonekana kuwa wakali sana kwa wale wanaotaka kuvunja utaratibu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic