August 23, 2017


Shamshamra zinaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mashabiki wa pande zote wanaonekana kuwa na shangwe na hii ni sehemu ya moja ya majukwaa ya Simba.

Hawa unaowaona ni mashabiki wa Yanga ambao kiasi fulani wameonekana kuwa wanyonge kutokana na wanavyoonekana huku Simba wakiwa na shangwe zaidi.

Hata hivyo, kushangilia pekee hakutoi uhakika wa timu fulani kuhakikisha inaibuka na ushindi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic