November 5, 2017



Na Thomas Mwalupani, Mbeya
Watu wanaonekana hawataki mchezo na wamepania kuona mechi kati ya wenyeji Mbeya City dhidi ya Simba inayotaka kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara.

Tayari mashabiki wameshaanza kujitokeza kwa wingi kuingia uwanjani Sokoine mjini hapa tayari kwa mchezo huo. 







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic