December 17, 2017


Mechi kati ya Yanga dhidi ya Polisi Tanzania iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salamaa, imeisha kwa sare ya bila bao.

Mechi hiyo ilikuwa nzuri na ya kuvutiwa iliyopigwa kwenye uwanja huo leo na Yohana Mkomola aliichezea Yanga kwa mara ya kwanza.

Pamoja na Mkomola, mashabiki wa Yanga walishuhudia washambuliaji wao wawili wa kimataifa, Amissi Tambwe raia wa Burundi na kiungo raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi wakirejea uwanjani.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic