January 16, 2018






Klabu ya Yanga SC imeingia udhamini na kampuni ya vifaa vya michezo ya Macron wa thamani ya bilioni mbili kwa muda wa miaka mitatu, kampuni hiyo ndiyo watakaokuwa wakiivalisha klabu.

Macron itakuwa ikitengeneza jezi za Yanga na vifaa mbalimbali vinavyotumika na wachezaji.
Lakini pia itakuwa ikitengeneza jezi zinazovaliwa na mashabiki ambazo zitauzwa kwao.

Mkataba huo umesainiwa leo mbele ya wawakilishi wa Macron na Yanga ambayo iliwakilishwa na Katibu wake Mkuu, Charles Boniface Mkwasa.



1 COMMENTS:

  1. Hatua nzuri Yanga Africa, songa mbele daima mwiko kurudi nyuma!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic