Kiungo Mesut Ozil amesaini mkataba wa miaka mitatu zaidi kuichezea Arsenal.
Ozil raia wa Ujerumani mwenye asili ya Ujerumani, sasa atakuwa mchezaji anayelipwa zaidi baada ya Alexis Sanchez ambaye ameondoka Arsenal na kujiunga na Arsenal.
Sanchez anakusanya pauni 350,000 kwa wiki akiwa na Manchester United.
Mjerumani huyo atakuwa akilipwa pauni 300,000 kwa wiki ikiwa ni zaidi ya pauni 120,000 zaidi ya Pierre Emerick Aubameyang ambaye amejiunga na Arsenal akitokea Borussia Dortmund.
0 COMMENTS:
Post a Comment