February 1, 2018


IKIWA JIJINI DAR, KAWAIDA YANGA HUJIFUA KWENYE UWANJA WA TAIFA. LEO IMEFANYA MAZOEZI YAKE KWENYE UWANJA WA MKWAWA MJINI IRINGA.

Idadi kuwa ya mashabiki imejitokeza kwenye Uwanja wa Mkwawa mjini Iringa kuishuhudia Yanga ikijifua.

Yanga imekuwa katika mazoezi yake ya mwisho kujiandaa dhidi ya Lipuli FC, mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa keshokutwa.

Mashabiki hao walijitokeza kwa wingi wakionekana wamepania kuwaona wachezaji wa Yanga ambao kikosi chao kimerejea Iringa baada ya zaidi ya miaka saba.


Lipuli imerejea tena katika Ligi Kuu Bara baada ya kubaki nje ya ligi hiyo kwa zaidi ya miaka saba.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic