Wafungaji wa mabao hayo ni Thomas Muller katika dakika ya 43 na 66, huku Lewandowski akifunga katika dakika za 79 na 88 na la tano litiwa kimiani na Coman, dakika ya 52.
Mchezo huo ulikuwa na faida kwa Bayern baada ya Besktas kucheza wakiwa pungufu uwanjani, baada ya Vida kutolewa nje kwa kadi nyekundu (16').










0 COMMENTS:
Post a Comment