February 18, 2018


Chris Eubank Jnr amepoteza pambano lake la ngumi za kulipwa na kupoteza mkanda aliokuwa anaushikilia.

Eubank Jr amepigwa kwa pointi 117-112, 116-112, 115-113 alizopata katika pambano dhidi ya George Groves maarufu kama Goliath.


Katika pambano hilo, Eubank Jr alichanika usoni na kusababisha muda mwingi apigane akiwa na damu usoni na mwilini kote na hata mpinzani wake na mwamuzi walikuwa wamejaa damu.

Eubank Jr alichanika baada ya kugongana bahati mbaya na mpinzani wake katika raundi ya tatu na raundi ya mwisho, walichapana makonde mfululizo na baada ya kengele kila mmoja alinyoosha mkono kuonyesha ameshinda.

















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic