February 20, 2018



Simba sasa ina uhakika itamtumia Aishi Manula leo katika mechi dhidi ya Gendamarie ya Djibouti.


Hali yake inaonekana kuwa nzuri baada ya kuumia jana kutokana na kuteguka kidole.

Lakini mmoja wa viongozi wa Simba, ameihakikishia SALEHJEMBE kwamba leo Manula ataanza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic