Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao amehojiwa na Idara ya Uhamiaji Tanzania.
Kidau amehojiwa na idara hiyo jana na taarifa zinaelezwa ni kuwepo kwa hofu kuhusiana na uraia wake.
Msemaji wa Uhamiaji, Ally Mtanga amethibitisha kuhojiwa kwa Kidao na kusema taarifa itatolewa.
Kumekuwa na taarifa za kuwa Kidao ana asili ya Burundi, nchi iliyo jirani Magharibi mwa Tanzania.








0 COMMENTS:
Post a Comment