February 18, 2018


Kikosi cha Simba kinaondoka leo kwenda Djibouti kwa ajili ya mechi ya ya keshokutwa Jumanne.

Kocha Pierre Lechantre ameamua kumuacha mshambuliaji wake Laudit Mavugo kutokana na kuonekana hana msaada.

Ingawa hajaweka wazi, lakini Lechantre raia wa Ufaransa ameamua kusafiri na kinda Moses Kitandu huku akimuacha mshambuliaji huyo wa kimataifa.

Katika listi iliyotolewa inaonekana hakuna jina la Mavugo.

Wanaoondoka leo mchana:
Aishi Manula, Emmanuel, Erasto Nyoni, Mohamed Zimbwe, Asante Kwasi, Ally Shomari, Shomari Kapombe, Yusuf Mlipili, Bukaba, Juuko Murshid, James Kotei, Jonas Mkude, Muzamiru Yassin, Shiza Kichuya, Said Ndemla, Nicholas Gyan, Mwinyi Kazimoto, Moses Kitandu, Emmanuel Okwi na John Bocco.


1 COMMENTS:

  1. Hatambuliki na caf huyo..jina halilichelewa kwenda kutokana na usajili wa domingos uliokwama

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic