February 20, 2018


Isaac ambaye ni mtoto wa kwanza wa kiume wa nyota na gwiji wa Chelsea, Didier Drogba amejiunga ’na soka la kulipwa akijiunga na klabu ya Guingamp ya Ufaransa.

Klabu hiyo aliichezea baba yake akiwa na umri wa miakia 16 akicheza hapo kwa msimu mmoja.

Lakini Isaac naye amejiunga na Guingamp akitokea katika akademi ya Chelsea.

Drogba alijiunga katika klabu hiyo akiwa na umri wa miaka 16 kwa dau la pauni 80,000 akitokea Le Mans.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic