Na George Mganga
Kikosi cha Yanga kimetua salama mjini Songea mchana wa leo kikitokea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Majimaji FC.
Yanga wamefika salama na kupokelewa na mamia ya mashabiki waliojitokeza kuilahi timu hiyo.
Tazama hii video kuona namna mapokezi yalivyokuwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment