Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Aguero ameandika kuwa amlumia jana wakati akifanya mazoezi na wachezaji wenzake, hivyo kupelekea goti lake moja kupata majeraha.
Taarifa kutoka kwa madaktari zinasema, mchezaji huyo sasa anaweza akakosekana Uwanjani kwa takribani wiki mbili hivyo anaweza kurejea mwishoni mwa mwezi huu ambapo City itakipiga na Everton.









0 COMMENTS:
Post a Comment