Dak ya 3, Simba wanamiliki mpira kuelekea eneo la kati
Dak ya 7, Gooooo, Asante kwasi anafunga bao la kwanza
Dak ya 9, Faulo inachewa kuelekea Simba
Dak ya 11. Mzamiru Yassin anapasia na Mkude eneo la katikati
Dak ya 12, Mzamiru Yassin anachezewa faulo, mpira unapigwa kuelekea Stand
Dak 13, Mzamiru anaenda nje kwa muda kugangwa
Dak ya 13, Faulo ya Kichuya inatoka nje, matokeo bado ni 1-0, Simba anaongoza
Dak ya 14, Faulo tena inapigwa kueleka lango la Stand, anapiga Erasto
Dak ya 15, Mpira unapigwa kueleka Simba baada ya kutoka nje
Dak ya 15. Stand wanapasiana eneo la hatari la Simba, Manula anaoko
Dak ya 16, Simba wanaanza kwa kuapsiana nyuma taratibu, Erasto anampasia Mkude, mpira unaendelea
Da ya 17, Simba wanarusha mpira, Kwasi anamrushia Mkude, Mkude anampasia Mzamiru, inakuwa faulo
Dak ya 18, Vitalis Mayanga wa Stand anapewa kadi ya njano kwa kumfanyia faulo Asante Kwas
Dak ya 19, Goli Kiki langoni, Stand wanaanza
Dak ya 20, Kichuya anapiga krosi lakini inadakwa kilaini na kipa wa Stand
Dak ya 21, Seleman Ndikumana anagangwa baada ya kuumia, mpira umesimama kwa muda
Dak ya 22, Mavugo anacheza fair play baada ya Mwamuzi kusimamisha mpira, ni baada ya Ndikumana kuumia
Dak ya 23, Gooooo, Mavugo anafunga bao la pili kufuatia kazi nzuri ya Mzamiru Yassi
Dak ya 26, Simba wanazidi kumiliki mpira eneo la kati, Mkude anapasiana na Kichuya
Dak ya 26, Offside ya kwanza kwa Stand United
Dak ya 27, Faulo inapigwa engo ya kushoto kushoto mwa Uwanja na Mkude, mabeki wa Stand wanaokoa
Dak ya 28, Asante Kwasi anajiinamia baada ya kuumia, mpira umesimama, Simba wanaongoza kwa mabao 2-0
Dak ya 29, Jaribio zuri wanafanya Stand, lakini mpira unatoka nje
Dak ya 32, Kichuya anampasia Erasto, erasto anaipenyeza katikati ya Uwanja
Dak ya 30, Manula anaanza free kiki, lakini mpira unatoka nje
Dak ya 33, Stand wanatoa mpira nje, Kwasi anamrushia Gyan
Dak ya 34, Manula anaanza tena, Simba wakiwa mbele kwa mabao 2-0, Nyoni anampasia manula, Manula anamtafua Kote, Kotei kwake Kapombe
Dak ya 35, Simba bado wanamiliki mpira, Offsid, Mavugo ameotea
Dak ya 35, Goool Stand wanapata bao la kwanza, sasa Simba 2-1 Stand United
Dak ya 37, Stand wanaanza sasa kwenye eneo lao la nyuma
Dak ya 40, Goooool Stand wanasawazisha, sasa ni 2-2
Dak ya 42, Kona inapigwa kueleka lango la Stan
Dak ya 43, Kadi nyingine ya njano inatoka, mfungaji Lulambo anapewa baada ya kushika mpira
Dak ya 44, Simba wanashambulia wakitafuta goli la tatu, lakini mpira unakwenda nje.
Dak ya 45, Dakika mbili zimeongezwa, matokeo ni 2-2
HalfTime, Kipindi cha kwanza kimemalizika, matokeo ni 2-2.
Dak ya 45, Beki wa Stand ameumia, anatolewa kwenda kugangwa, mpira unarushwa langoni mwa Simba
Dak ya 46, Stand United wameanza
Dak ya 47, Simba wanaanza kwa Manula kupiga shuti lakini mpira unatoka nje
Dak ya 50, Fair Play inachezwa na Stand
Dak ya 50, Simba wanaanza kwa kupasiana eneo la nyuma
Dak ya 51, Mpilipili anampasia Mkude, Mkude anapiga kwake Luizio ambaye amechukua nafasi ya Mavugo
Dak ya 52, Simba wanaanza tena eneo la nyuma baada ya mpira kutoka, anaumiliki Mkude eneo la katikati
Dak ya 55, Kichuya anampasia Nyoni, Kichuyaaaa, kipa anapangua
Dak ya 56, Stand wanaondoka sasa, lakini unakwenda nje, Simba wanarusha
Dak ya 57, Free Kiki, Kichuya anapiga kuelekea langoni mwa Stand, Abdul Kassim wa Stand anapewa kadi ya njano
Dak ya 58, Kichuya anapiga lakini Simba wanautoa na inakuwa goli kiki
Dak ya 53, Free Kiki inapigwa kuelekea eneo la Stand baada ya Gyan kufanyiwa faulo, mpira unapigwa lakini unatoka nje
Dak ya 60, Kipa wa Stand anaumia baada ya kubabatizana na beki wake, matokeo ni 2-2
Dak ya 61, Mpira bado umesimama
Dak ya 61, Goooooo, Gyan anaifungia Simba bao la 3, sasa ni 3-2
Dak ya 64, Stand wanapandisha, faulo, inapigwa kuelekea Simba eneo la 18
Dak ya 65, Unapigwa, Manula anaupangua na mabeki wanauondoa langon
Dak ya 66, Gooooo, Stand wanasawazisha, ni 3-3 sasa
Dak ya 68, Mchezaji wa Stand ameumia, Mwamuzi amesimamisha mpira kwa muda
Dak ya 70, Matokeo ni 3-3
Dak ya 71, Mshambuliaji wa Stand anafanyiwa faulo, mpira umesimama
Dak ya 71, Mpilipili anapewa kadi ya njano baada ya kucheza mazambi
Dak ya 74, Simba wanafanya mabadiliko, anaingia Kazimoto, anatoka Mzamiru Yassin
Dak ya 76, Simba wanapata kona, inapigwa kuelekea Stand
Dak ya 77, Stand awanatoa mpira nje, unarushwa kuelekea Stand
Dak ya 79, Mpira unaendelea, ni faulo inapigwa kuelekea Stand baada ya Kichuya kuchezewa faulo
Dak ya 78, Kipa wa Stand anapiga free kiki kuelekea Simba
Dak ya 83, Kotei anapasiana na Mwinyi sasa
Dak ya 84, zimesalia dakika 6 sasa mpira umalizike
Dak ya 85, Kwasi anapiga krosi lakini mpira unatoka nje
Dak ya 86, Free kiki inapigwa kuelekea Stand baada ya kwasi kuchezewa faulo
Dak ya 87, Mpira unatoka nje, Stand wanarusha
Dak ya 88, Simba wanashambulia lango la Stand, lakini ukuta wao umejaa
Dak 90, Zimeongezwa dakika 4 pekee mpira umalizike
Dak ya 91, Simba wanajaribu kutafuta bao la 4, mambo magumu
Dak ya 94, Mchezaji wa Stand ameumia, mpira umesimama
Full Time, Simba SC 3-3 Stand United
SAFI MKUU UNATUSAIA SANA TULIO KAZINI NA HATUNA REDIO
ReplyDeleteLakini Mkuu nadhani katika simu yako waweza kusikiliza radio.
ReplyDeleteupdate vizuri basi hizo dakika unatuchanganya tunaokufuatilia
ReplyDeleteMatch ya ajabu kabisa hii.
ReplyDeleteJiongeze@Emilly Kadaso
ReplyDeleteHili nalo ni gundu kama gundu lingine tu 😣😣
ReplyDeleteMambo gani Thimba ♨ wameanza ..!!
Timu zimecheza vizuri ingawa
ReplyDeleteSimba hizi droo hizi ndizo zilizoigharimu timu misimu miwili iliyopita. Sio mbaya kwakuwa bado zipo mechi 10 mbele isipokuwa wachezaji waongeze spidi na kushambulia kwa nguvu na umakini. Wachezaji wanacheza taratibu mno inakuwa rahisi timu pinzani kuzuia move zao.
Mwandishi tunashukuru sana kwa taarifa lakini wachezaji wa Stand hawana majina na pili utaratibu wa zamani ulikuwa mzuri wa upangaji page kuliko huu wa sasa,
ReplyDeleteAhsante.
Simba bila okwi haitembei...bila okwi simba itasubiri sana ubingwa.
ReplyDelete