March 31, 2018



Manchester United imeendelea kusalia nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England kwa kuilaza Swansea City FC jumla ya mabao 2-0.

Lukaku aliyeweka rekodi ya kufunga bao la 100 katika EPL leo, alianza kucheka na nyavu kwenye dakika ya 5 tu ya mchezo.

Alexis Sanchez leo ameibuka na kufikisha bao lake la pili akiwa na Manchester United katika dakika ya 20 na mpaka mechi hiyo inamalizika, Man United 2-0 Swansea.

Tazama magoli hayo hapa



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic