Zlatan Ibrahimovic bado hajakaa vizuri na kurejea uwanjani kuisaidia Manchester United.
Lakini hiyo haimpi presha kuacha kuendelea kufurahia maisha.
Kawaida amekuwa akienda mazoezini na gari lake aina ya Volvo lakini safari ameibuka na gari la kifahari zaidi la Porsche 911.
Gari hilo thamani yake ni pauni 210,000 na linamfanya kuwa mmoja wa wachezaji wenye vichaa na magari ya kifahari.
0 COMMENTS:
Post a Comment