KINDA MTIBWA SUGAR ASAINI MIAKA MIWILI
Uongozi wa klabu ya Mtibwa Sugar umetangaza kuingia kandarasi ya mkataba wa miaka miwili na beki kinda, Kibwana Shomary.
Shomary amesaini na Mtibwa akiwa ni mmoja wa wachezaji walio katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka ishirini, Ngorongoro Heroes.
0 COMMENTS:
Post a Comment