May 8, 2018





Gwiji la soka la Malawi, Jack Chamangwana ataagwa leo kwenye Uwanja wa Kamuzu jijini Blantyre.

Baada ya wadau mbalimbali wa soka na michezo kumuaga, Chamangwana aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, atazikwa kijijini kwao Misesa.

Chamangwana alifariki juzi Jumapili katika Hospitali Queen Elizabeth Central (QECH).

Beki huyo wa zamani wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 61.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic