May 28, 2018




Hatimaye Simba imemalizana na mshambuliaji kinda wa Lipuli FC, Salamba.

Salamba amesaini kuitumikia Simba kwa mkataba wa miaka mitatu.

Kazi ya kusaini mtaba hup imefanyika mbele ya Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’.

Baada Salamba alipata nafasi ya kuona ana Mohamed Dewji, Bilionea anayetarajia kuwekeza ndani ya Simba kitita cha Sh bilioni 20.

6 COMMENTS:

  1. Naiogopea yanga. Vishindo hivi wataviweza wapi jee ndio kwaheri yakuonana. Rahadharini na kuteremka daraja

    ReplyDelete
  2. Mwanzo mazuri, tunategemea mambo mazuri ZAIDI.

    ReplyDelete
  3. Safi sana kwani wahenga walisema kufanya kosa sio kosa bali ni taratibu za kujifunza ispokuwa kurejea kufanya kosa lile lile ndio kosa na taratibu za kuadhibiwa zikichukua nafasi yake ni haki yake kabisa. SIMBA haiwezi kuibuwa vipaji halafu wakaviachia vikapotea bure na wakati mwengine hata kuja kuipa wakati mgumu SIMBA inapokutana na timu wanazochezea. Ila kosa jengine la kutupiwa jicho na kutiliwa mkazo kwa nguvu zote na ambalo halitakiwi kurejewa rejewa hasa kwa klabu za simba na Yanga ni jinsi ya kulinda vipaji vya hawa vijana wanapokuja mjini mara nyingi huwa wanapotea njia. Klabu zetu lazima ziwe na kamati maalum za kudumu za kuchunguza na kutunza mienendo ya wachezaji hasa chipukizi kuhakikisha wanajiepusha na mambo yatakayowapelekea kuushia njiani wakati walikuwa na uwezo mkubwa wa kukamilisha safari.

    ReplyDelete
  4. Mwandishi jitathamini... MO Dewji sio mtarajiwa mwekazaji bali ni mwekazaji halisi anayemiliki hisa Simba 49% ndio maana yake sasa anajitokeza hadharani kama unavyooona picha na usajili.Kama bado hamuamini MO ameshaanza biashara basi mtasubiri sana huko Jangwani bwawani maji yakauke.

    ReplyDelete
    Replies
    1. :>) :>) :-) :-) mayebo kwishneeeeeey!!!

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic