May 29, 2018


Siku chache baada ya kupoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid, Liverpool imeanza kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao.

Liverpool imemsajili kiungo Fabinho kutoka AS Monaco ya Ufaransa.

Wakongwe hao wa Anfield wamemwaka pauni million 43.7 ambayo ni sawa na kusema pauni milioni 44.

Kiungo huyo Mbrazil, amesaini mkataba na Anfield ambao itaisha Juni 2023.
Liverpool tayari imetoa kitita cha pauni million 39.4 kwa Monaco na zilizobaki kama msimu ujao ataisaidia tena kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic