Yanga leo imeitwanga African Sports kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
Bao hilo limefungwa katika dakika ya tano ya nyongeza (90+5) huku wengi wakidhani mpira umekwisha.
Muuaji ni Mzimbabwe Thabani Kamusoko ambaye alipewa pasi safi ya kichwa na Mzimbabwe mwenzake, Donald Ngoma. Cheki pichaz.
0 COMMENTS:
Post a Comment