May 2, 2018


Na George Mganga

Msanii Ommy Dimpoz ameachia rasmi video yake mpya inayojulikana kwa jina la Yanje akiwa ameshirikisha Seyi Shey kutoka Nigeria.

Dimpoz ambaye yuko chini ya lebo ya Msanii Alikiba inayojulikana kwa jina la RockStar4000 ametuletea video hii ikiwa ni wa pili chini ya lebo hiyo.

Ikumbukwe Dimpoz aliachia video ya kwanza chini ya RockStar400 iliyojulikana kwa jina la Cheche.

Itazame hapa kupitia salehjembe.blogspot.com


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic