June 12, 2018




Miezi miwili tu baada ya kusaini mktaba mpya wa mwaka mmoja na nusu na klabu ya Rayon Sports ya Rwanda, kocha Ivan Minnaert aria wa Ubelgiji, amefukuzwa kazi.

Mkataba wake ulikuwa inaisha Juni 2019, lakini amefukuzwa baada ya timu yake kuonekana haina mwendo mzuri huku ikizidiwa pointi saba na vinara wa Ligi Kuu Rwanda APR.

Rayon ni kati ya wapinzani wa Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya Makundi wakiwa pia na Gor Mahia inayonolewa na kocha wa zamani wa Simba, Dylan Kerr.
Pamoja na kufutwa kazi, Minnaert amemueleza rafiki yake wa karibu suala la kugoma kushika masuala ya ushirikina na baada ya hapo timu ikapoteza mchezo ni moja ya jambo lililochangia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic