June 12, 2018



Kocha Juma Mwambusi amerejea tena katika soka na kujiunga na klabu ya Azam FC.

Mwambusi amesaini mkataba wa miaka miwili na anaungana na Kocha Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi ambaye kabla alizinoa Yanga na Singida United.

Mara ya mwisho Mwambusi alikuwa Yanga ambayo alikuwa msaidizi wa Kocha George Lwandamina.

Kabla ya kuwa chini ya Lwandamina raia wa Zambia, Mwambusi alifanya kazi kwa mafanikio chini ya Pluijm wakiwa Yanga.

2 COMMENTS:

  1. Duh Vipi yule kocha mpondaji Iddi Cheche bado yuko yuko na lamba-lamba?

    ReplyDelete
  2. Benchi makini la ufundi, Azam wakiacha uswahili wa Yanga na Simba, watafika mbali na makocha hawa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic